Wednesday, January 10, 2007



Hapa ni kilele cha mlima Kilimanjaro! Kuupanda ni ngumu lakini ukifika kileleni ni furaha ya ajabu!

2 comments:

Anonymous said...

Hayo ndo mambo mzee Zabloni. Mlima wetu lakini wapandaji wanatoka nje! Big up sana kwa kuupanda na kuonesha kwa Watanzania kwamba ipo haja ya kufaidi kwa namna mbalimbali rasilimali zetu.Ni ufahari ulioje kuonesha picha kwa wageni ukiwa kwenye kilele cha mlima mrefu zaidi ya yote Africa ulioko nchini mwako! Hiyo ni moja ya njia ambazo kwazo tunaitangaza nchi yetu.

Anonymous said...

you are so fun wit ur web but make sure you set things for the development of ur society and urself.
keep it up you are trying