Thursday, August 1, 2013

IT IS ABOUT TIME TO INVEST IN AGRICULTURE
 KILIMO KINALIPA
 NI AJIRA YA HARAKA INAYOLIPA NA KURUDISHA FAIDA


 HAICHAGUI UMRI WALA TAALUMA



 ITAKULISHA PIA NA FAMILIA YAKO

Saturday, October 17, 2009

WATOTO NOOOMA

Hawa watoto ni soo!!

Thursday, February 26, 2009

Utabiri wa Hali ya Hewa ya Van Hise

First year student presents her skit for a grade.

FIRST SEMESTER SKIT 2008

First year students present their skit for grading.

Wednesday, February 25, 2009

Utabiri wa Hali ya Magari Barabarani



First Semester Student presents her skit for a grade
December 2008

Monday, November 10, 2008

Chuo Kikuu cha Andrews


Bango linalokitambulisha Chuo Kikuu cha Andrews Kilichopo Berrien Springs Michgan

Friday, October 10, 2008

Tanzania : A brief biography


So you want to visit Tanzania?
This is what you should know about this blessed country.

Thursday, October 9, 2008

FERI

Wadau, snepu hili nimelifagilia nikashindwa kuvumilia. Lazima nirudishe heshima kwa bwa Misupu kwa kazi nzuri. haya ni matokeo ya kamera yake anayoijua vyema.

Wednesday, October 8, 2008

Tuesday, October 7, 2008

Tom na Jerry


Nilipokuwa mdogo hivi vijamaa vilikuwa vinanichekesha sana. Hata sasa bado navipenda sana pamoja na ukubwa wanngu. Sijui ndio niliruka stage mana bado napenda hivi na ni vya watoto. Kaaaaaaaaaaazi kweli kweli.
Academic bridge. Hawa jamaa wachukua snepu wanameki sana hapa

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam




I love to put my views here

Wanja la taifa

Hii investimenti ya msingi sana!
Jamani linapendeza halipendezi?

Monday, October 6, 2008

Haya sasa maghorofa ya kuzunguka hayoooooooooooo! bofya hapa

Tuesday, September 2, 2008

Mchicha

Jamani mchicha ni mtamu usilete matani. Hapa jamaa analima mchicha, wadau nawaachieni wenyewe mniambie kuwa hapa hili shamba lipo wapi mana mimi sitii neno.

Friday, August 8, 2008

Watalii karibuni Bagamoyo

Bongo Tambarare

Tanzania Tanzania,
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako li tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama we!
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote

Tuesday, May 27, 2008



Wamarekani wanapenda kuonesha magari ya zamani mara moja kwa mwaka. Hawa jamaa wanajua kutunza kweli kweli. Ama kweli cha kale dhahabu. Hebu bofya hapa

Saturday, May 10, 2008

Maua ya Kiangazi mjini Madison

Kipindi cha kiangazi nacho kimeshawasili. Mji wa Madison unavutia kwa maua ya kila rangi


Kwa kutumia teknolojia ya kisasa maua haya yanaoteshwa kwa muda mfupi na yanaoteshwa kilingana na mahitaji kama rangi, ukubwa na kadhalika.

Thursday, May 1, 2008

WORLD'S YOUNGEST SOLO MUSICIAN..Kipaji cha ajabu

Huyu mtoto ana kipaji cha kipekee!! Katika umri wake wa miaka minne anacheza VIOLIN vizuri sana tena akifuata ala sindikizi bila ya wasiwasi hata kdogo!!
Click here to view/Bofya hapa uone

Tuesday, January 22, 2008

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!!!

Mtoto anayeonekana pichani, nilimkuta akiwa na baba yake juu ya ziwa monona ambalo limeganda sasa kutokana nabaridi kali iliyotawala maeneo mengi ya Marekani. Hapo alipo ameanguka baada ya kuteleza kwenye theluji. Kina cha maji kwenye eneo alilopo huyo mtoto lina pata mita kama kumi hivi. Lakini kutokana na hali ya kuganda, ni salama tu kutembea hapo juu. Wasiwasi wangu ni hiyo baridi na huyo ni mtoto mdogo. Kumbe ndio maana wengi wa wamarekani hawapati shida sana kipindi cha baridi kama inavyotokea kwa wabongo. Wamekuzwa wakiizoea baridi. Ama kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

Thursday, January 17, 2008

Sifa ya mji wa Madison ni usafiri wa umma. Mfumo wa daladala unamwezesha mwananchi wa kawaida kuishi mahali popote kwai mambasi yapo mengi na yanaenda karibu kila sehemu. Hivyo ni rahisi kufika kila sehemu. Tatizo linakuja pale thelui inpokuwa inaanguka kama inavyoonekana kwenye video hiyo hapo juu. Hebu bofya hapo ujionee mwenyewe!!

Walking on the water

It is too cold in madison. This guy is infact standing on the lake, just click on the play button below and you can watch the video!!!!

HApa kwenye mji wa Madison kipindi hiki cha baridi, kila kitu kimeganda. Hapa ni kwenye ziwa, ni ziwa kubwa ambalo huwezi kuamini kama linaweza kuganda kiasi cha watu kuweza kuendesha magari juu yake. Lakini ndio hivyo ziwa hli limeganda mithili ya maji yalowekwa kwenye friza. Bofya hapo juu ojionee mwenyewe

Wednesday, January 16, 2008

Soka la mchangani tamu jamani!!!



Raha ya kukaa karibu na pwani ni kama hii.......................

Mji wa Dar es Salaam unavyoonekana toka angani

Vimvbwete


Jamani wadau mliosoma mlimani, hapa panajulikana kwa jina gani al maarufu???

FPA


Jamaa aliyebuni haka kajisanamu mimi namfagilia mpaka leo.

Semina Rumu


Jamaa wakila lekcha pale Sr

Nkurumah!!



Kwa wale wadau waliowahi kukaa kwenye jengo hili watakubaliana na mimi kuwa limewahi kuwa chachu ya mabadiliko mengi yaliyofanyika kwenye mfumo mzima wa uendeshwaji wa chuo kikuu.


Madhari ya Theluji

Madhari ya kuvutia, kipindi cha baridi ambapo hali ya jotoi huwa chini kiasi cha kufanya maji na vimiminika vingi kuganda. Katika maeneo mengi ya Kaskazini mwa nchi ya Marekani kunakuwa na hali ya namna hii kwa takribani kipindi cha miezi mitano. Ingawa mazingira yanavutia kuona namna hii, hali hii ni hatari sana kwa afya. Mara nyingi watu wanatembea wakiwa wamevalia makoti na makofia makubwa makubwa ili kujikinga na hali hiyo!

Friday, October 12, 2007

HOTUBA YA MWALIMU (Bofya hapa)

Bofya hapo juu upate hotuba ya mwalimu nyerere

Friday, October 5, 2007

SOLIDARITY (BOFYA HAPA)

Ule wimbo maarufu wa mgomo wa wanafunzi wa UD aka Solidaite foreva kumbe na waghaibu nao wanautumia kwenye makunji yao ya hapa na pale hebu ona kwenye hii link

Friday, September 28, 2007

Kumbukumbu za Maisha

Maisha ni safari ndefu, yanatupitisha katika nyakati fulani ambazo hazisahauliki kamwe maishani. Usiku huu pale chini ya Mdigrii mti maarufu pale chuo kikuu cha Dar es salaa, vichwa vilikuwa vikiumia juu ya swali la Isimu lililoulizwa darasani na majibu yake yakawa tabu kidogo kupatikana. Kumbuka tupo 60 Darasani na vitabu ni viwili tu maktabani. Hata hivyo staili hii ya usomaji ilikuwa inatutoa kwani kila mtu alichangia kidogo alichoelewa hatimaye kitu kizima kilipatikana. Kwa bahati mbaya sana mmoja kati ya waliopo hapo ni marehemu sasa, loh!! Inasikitisha sana kwani darasa lote tuliishi kama ndugu, anapotoweka mmoja ghafula ni maumivu makubwa moyoni

NANI ALISEMA ETI BAISKELI HAIWEZI KUBEBA GARI??


Wakati mwingine baiskeli hubeba gari.....Don't try this at home

Usafiri

Wakati inapolazimu sana basi kuku hubebwa hivi.....mind you,This is not Tanzania.

Wednesday, September 19, 2007

Monday, September 3, 2007

NDIZI

Mdau wangu mmoja amenisihi niweke hii picha kwani kuna vijana wa kibongo waliozaliwa huku ughaibuni, wanakula ndizi kila mara lakini hawajui kinachozaa ndizi hizo. Hii ni migomba inayozaa ndizi aina ya Mshale.
Unapokuwa umekaa nje ya nchi yako kwa muda usiopungua mwaka, huwa unakuwa na hamu sana ya kurejea nyumbani. Ukiwa umejawa na uzalendo tele unarejea na kukuta jamii imekuandalia mambo ya hivi!!! Huwa inatia moyo sana

Monday, April 30, 2007

MLO WA KITANZANIA HASWA



Mapochopocho kadha wa kadha yalikuwepo, ilimradi kila mtu alifurahia. Huku baadhi ya mboga za majani zinaliwa bila kupikwa kama inavyoonekana hapo juu. Jamaa mmoja ambaye hakuwa amezoea huu mlo wa namna hii yalimkuta ya kumkuta siku moja. Jamaa alifika Marekani akiwa hana mwenyeji wa kueleweka, hivyo baadhi ya mambo mengi ya kitamaduni ilibidi ajifunze tu mwenyewe. Siku moja mchana jamaa akiwa kachoka kweli, akaingia mgahawani. Kama ilivyo kawaida ya wageni wengi wanaoingia Marekani kwa mara ya kwanza na ambao hawakuwa na mazoea ya kuingia ingia migahawani kule nyumbani, ilimwia jamaa vigumu kidogo kuelewa kilichoandikwa kwenye Menyu. Mhudumu nae alikuwa mmarekani mweusi na alikuwa anaongea kwa haraka kidogo hivyo ikawa vigumu kidogo kwa jamaa kuelewa aagize nini. Hivyo kwa kutizama picha jamaa akachagua chakula kimoja kilichoonekana kama kina nyama nyingi nyingi hivi. Baada ya muda, binti mhudumu alirudi akiwa na kinywaji, jamaa alikipokea na kuanza kubugia, mara kidogo binti karejea tena na sahani imejaa mchicha lakini mbichi, jamaa alitamani alie kwani alijua ndio chakula kimekamilika hivyo.

MLO WA KITANZANIA HASWA

Nilichowasifu hawa jamaa ni kwamba, hawakusahau chakula cha thamani kuliko vyote. Makande yalikuwepo pia na ni matamu ajabu. Wakina ambiere mpo hapo!


Najua wengi wanameza mate hasa walio Tanzania ambapo mishkaki sasa hailiki hasa kutokana na matatizo ya bonde la ufa...poleni sana ndugu zetu. mwisho wa juma lililopita mmoja wa watanzania waishio Nashville Tennessee hapa marekani bwana Joshua Idassi na familia yake waliandaa hafla fupi iliyofanya baadhi yetu tuliokikosa chakula kitamu cha Tanzania tukumbuke nyumbani tena. Ngoja niwaonjeshe japo kwa picha.

Saturday, April 28, 2007

TENGA LA KUBEBEA WATU


Katika hali ya kutoa burudani na kujitafutia riziki, huyu jamaa ameunda mkokoteni wake ambao unafanana na yale nmatenga ya kubebea kuku kule nyumbani. Anawaendesha watu watatu hadi wanne kwenye mkokoteni huo kwa ujira wa Dola 10. Jamaa huyu anajivunia sana uvumbuzi wake huu na anaamini kuwa ni hatua kubwa sana ameifikia kwenye maisha. Kwake yeye kazi yoyote ni kazi, hachagui.

RAHA YA KIPINDI CHA KIANGAZI


Kila mtu anaburudika kwa namna yake, wengine ndio hivyo wanafurahia kwa kulala chini, wengine ndio wanatumia kipindi hiki kufunga pingu za maisha na kadhalika. Hali ya hewa ya namna hii inasemekana pia kuwa inaathiri hata soko la bidhaa. Watu wengi hupenda kununua bidhaa kipindi hiki hali inayofanya bei za vitu vingi kupanda kuliko kawaida.

KIPINDI CHA KIANGAZI


Kipindi cha kiangazi kimeanza hapa Marekani, wakazi wake wanatumia muda huu kufanya kila linalowafurahisha. Pichani Jamaa anaonekana akirusha tiara, mchezo ambao kule nyumbani tumezoea mambo haya yanafanywa na watoto. Huku hata watu wazima wanafanya ili mradi tu wanakuwa wametimiza furaha yao.

Thursday, April 26, 2007

NEVER GIVE UP IN LIFE

Life is full of challenges, sometimes we think it is the end and there is no more hopes ahead. This is the worst mistake ever. When you think there is no altenative, a lot more lay ahead unexplored. All you need is to hold a little longer and tell youself "this is not the end" and you will realise that there is a way out. This works in all aspects of life, when you are looking for a job and no opening is seen anywhere, never give up. That might be your message that you don't need to be employed so you live under some one, rather you can create opportunities and open doors for others.



Monday, April 23, 2007

Why English is Hard to learn

REASONS WHYThe English language is so hard to learn.

  • 1) The alphabet was created for languages with five vowels, while English has sixteen.
    2) The history of English is complicated, is because it incorporates spelling patterns from
  • several different languages. Look to Irish American Vernacular English and also see examples from First Nation languages.
    As a result you can appreciate the confusion below.This is passed on by a linguist, original
  • author unknown.
  • The bandage was wound around the wound.
  • The farm was used to produce produce.
    The dump was so full that it had to refuse more refuse.
    We must polish the Polish furniture.
    He could lead if he would get the lead out.
    The soldier decided to desert his dessert in the desert.
    Since there is no time like the present, he thought it was time to present the present.
    A bass was painted on the head of the bass drum.
    When shot at, the dove dove into the bushes.
    I did not object to the object.
    The insurance was invalid for the invalid.
    There was a row among the oarsmen about how to row.
    They were too close to the door to close it.
    The buck does funny things when the does are present.
    A seamstress and a sewer fell down into a sewer line.
    To help with planting, the farmer taught his sow to sow.
    The wind was too strong to wind the sail.
    After a number of injections my jaw got number.
    Upon seeing the tear in the painting I shed a tear.
    I had to subject the subject to a series of tests.
    How can I intimate this to my most intimate friend?
    reading literacy teacher professional development professional association teacher education writing education language arts
    Let's face it - English is a crazy language.

  • There is no egg in eggplant nor ham in hamburger; neither apple nor pine in pineapple. English muffins weren't invented in England or French fries in France.
  • Sweetmeats are candies while sweetbreads, which aren't sweet, are meat.
  • We take English for granted.
  • But if we explore its paradoxes, we find that quicksand can work slowly, boxing rings are square and a guinea pig is neither from Guinea nor is it a pig.
  • And why is it that writers write but fingers don't fing, grocers don't groce and hammers don't ham?
  • If the plural of tooth is teeth, why isn't the plural of booth beeth? One goose, 2 geese. So one moose, 2 meese?
  • One index, 2 indices?
  • Doesn't it seem crazy that you can make amends but not one amend?
  • If you have a bunch of odds and ends and get rid of all but one of them, what do you call it? If teachers taught, why didn't preachers praught?
  • If a vegetarian eats vegetables, what does a humanitarian eat?
  • Pronunciation in the English language
    The author, Prof. H. L. Chace was a professor of French and wrote these in 1940 to to demonstrate that intonation of spoken English is almost as important to the meaning as the words themselves. He is the originator of ANGUISH LANGUISH, for you, your friends, and your family to half pun wit. Example: Fairy Tales Little Red Riding Hood becomes this title Furry Tells Ladle Rat Rotten Hut.
    Literacy Reading
  • Can Johnny read yet? What are the statistics?
    21st Century Literacy Skills Test - find out what this is and how you need to prepare for it.
    What difficulties are unique to Dialect Speakers?

    SEE CREOLE LITERATURE In the African-American Vernacular English that is widely spoken in most inner cities you will find an extreme simplification of consonants at the ends of words that goes beyond the pattern of any other dialect.
  • The t in test may be pronounced less than 10% of the time, even at the very end of the sentence where it is heard most clearly in other dialects.
  • In words like old, it is not only the d that is not pronounced, but the l is usually converted to a vowel, so that ol and old may be homonyms.
  • Even single consonants may be deleted at the ends of words. And there are differences in grammer.
  • The 's that signals possession at the end of a sentence (This is my mother's) it is rarely used to relate two nouns (This is my mother cousin house). PDF FILE
    Linguistics Expert Recommended Reading

  • 1) Spoken Soul: The Story of Black English by John R. Rickford, Russell J. Rickford (Contributor) American Book Award 2000 from the Before Columbus Foundation.
    2) Hoi Toide on the Outer Banks : The Story of the Ocracoke Brogue - by Walt Wolfram & Natalie Schilling-Estes Click to read a few pages that will explain a time line of how American English came into being. Dialect Awareness Curriculum This is a fascinating book, compelling to read even for those who are not students of language and dialect. Ocracoker the speech of the natives of Ocracoke Island, North Carolina which was virtually isolated from mainland influence for years and years is highly distinctive in pronunciation, vocabulary and syntax. Thanks to the authors' work in researching Ocracoker, efforts are being made to preserve this unique language and to celebrate the culture that produced it.
    ENGLISH WORDS COME FROM FIRST NATION PEOPLE
    First Nation LanguagesFind the interesting facts that explore the First Nation People's Words from Linguists.(1607). Two modern accounts -- one by Captain John Smith and the other by the Jamestown colony secretary, William Strachey -- preserved some Virginia Algonquian words. Of the more than 15 original Algonquian languages in eastern North America, the two still spoken are Passamaquoddy-Malecite in Maine and Mikmaq in New Brunswick.
    LITERATURE

    ONLINE READING RESOURCES - FOR THE CLASSROOM OR AT HOME
    LITERATURE Here are some of the very best resources for both traditional Language Arts and modern communications sites and applications on the web.You will find that they are in a separate class all by themselves and can enrich and even transform your curriculum.

    TOOLS
    Reading Research
    What I Can Do to Comprehend During Reading Reading Chart for your Classroom
    1) Visualize concepts & situations2) Summarize the main events or important ideas3) Clarify confusing words, terms, & sentences, sometimes with an outside reference4) Question the author & myself, when summarizing & clarifying5) Connect the text with your own experiences, or other reading6) Predict what will be covered next
    What teachers of reading should know and be able to dohttp://www.aft.org//Edissues/downloads/rocketsci.pdf
    TIP Database The Theory Into Practice Database TIP is a tool intended to make learning and instructional theory more accessible to educators. The database contains brief summaries of 50 major theories of learning and instruction. These theories can also be accessed by learning domains and concepts.
    Teaching English, ESL, English as a second language, learning to read, teaching kids to read

    WRITING - KIDS NEED TO TUNE UP
    "Well, I can't take on all of our hurried society at once, but in the handwriting realm, at least, I'm going to have my say. Because most research and the specialists I've talked to agree that children are generally ready to be introduced to writing -- and have the necessary motor and visual skills -- sometime during kindergarten. In fact, not even every kindergartner is prepared to write, say the experts, all of whom advocate waiting until a student is ready and receptive. "It's easier to learn something when everything is in place," says Newman, who is a perceptual motor therapist, runs movement classes for children and thinks kids need to exercise and move to develop good pre-writing skills. Yet many preschools persist in teaching children to write, and even evaluating that writing, before the students have the skills they need. [...Remember the progression when we were in elementary school? Printing in kindergarten and/or first grade. Cursive in third. Penmanship grades. Most assignments in elementary school were handwritten. Typing didn't come until sometime in middle or high school. Compare that with today's curriculum. Handwriting in preschool, probably in reaction to the tougher kindergarten curriculum. Then, in second grade, sometimes before they have the basics of handwriting down, children are often introduced to typing. Cursive still comes around third grade, but nowadays it's often a rushed program, with some people arguing that one script should suffice, especially since most kids are going to wind up on computers. And forget penmanship; kids are lucky if they are taught to sit properly and form their letters efficiently. In fact, according to the experts, not only do most teachers have no training in handwriting instruction, they don't have the time to teach it thoroughly." Source http://www.washingtonpost.com/wp-dyn/articles/A48366-2002Aug6.html
    Write in the Middle a workshop for middle school teachers who teach writing, complete with audio files and Best Practices in Teaching Writing.
    Writing Tips:I was once taught that the first sentence of every paragraph should contain the main idea of the paragraph. Then the following sentences should give info about that topic and the last sentence should be the summary of the main idea.Write about issues you really, really care about like things that frustrate or make you mad. Try to use the simplest-possible language, write like you talk and use personal experience to the maximum. Listen to yourself read it aloud for how it sounds - is it your voice? Is this what you mean to say? Reread and rewrite until it just "sounds right," which seems to have something to do with rhythm and other stuff. Start reading two or three paragraphs before to get a "running start to that will help you shape the next sentence.Find a way to hook a big idea to something real and immediate and write about whatever is personal to you about that subject. Your life experience - the more the better. My favorite book is Zen and the Art of Motorcycle Maintenance. (If you haven't read the book and he seems to be talking about himself as someone else, that "someone else" is him before he had some sort of mental breakdown.) There's a really good description by Pirsig the main character about how he helped a student get around writer's block.The discussion of "quality writing" starts around page 190 depending on which book you have.
    Listen to Writer William Bourroughs leads a class. "Language is a virus from outer space." and "Paranoia is just knowing all the facts." ~ Willam S Burroughs, Jr.
    Four All Who Reed and Right ~ Author Unknown
    We'll begin with a box, and the plural is boxes;but the plural of ox became oxen not oxes.
    One fowl is a goose, but two are called geese,yet the plural of moose should never be meese.
    You may find a lone mouse or a nest full of mice;yet the plural of house is houses, not hice.
    If the plural of man is always called men,why shouldn't the plural of pan be called pen?
    If I spoke of my foot and show you my feet,and I give you a boot, would a pair be called beet?
    If one is a tooth and a whole set are teeth,why shouldn't the plural of booth be called beeth?
    Then one may be that, and three would be those,yet hat in the plural would never be hose, and the plural of cat is cats, not cose.
    We speak of a brother and also of brethren,but though we say mother, we never say methren.
    Then the masculine pronouns are he, his and him,but imagine the feminine, she, shis and shim.
    Let's face it, English is a crazy language.
    There is no egg in eggplant, nor ham in hamburger; neither apple nor pine in pineapple. English muffins weren't invented in England.
    We take English for granted. But if we explore its paradoxes, we find that quicksand can work slowly, boxing rings are square and a guinea pig is neither from Guinea, nor is it a pig.
    And why is it that writers write but fingers don't fing, grocers don't groce and hammers don't ham?
    Doesn't it seem crazy that you can make amends, but not one amend?
    If you have a bunch of odds and ends and get rid of all but one of them, what do you call it?
    If teachers taught, why didn't preachers praught?
    If a vegetarian eats vegetables, what does a humanitarian eat?
    Sometimes, I think all the folks who grew up speaking English should be committed to an asylum for the verbally insane.
    In what other language do people recite at a play and play at a recital?
    Ship by truck and send cargo by ship?
    Have noses that run and feet that smell?
    How can a slim chance and a fat chance be the same, while a wise man and a wise guy are opposites?
    You have to marvel at the unique lunacy of a language in which your house can burn up as it burns down; in which you fill in a form by filling it out and in which an alarm goes off by going on.
    English Rules of Thum (sic)
    Don't use no double negatives.
    Make each pronoun agree with their antecedents.
    Join clauses good, like a conjunction should.
    About them sentence fragments.
    When dangling, watch your participles.
    Verbs has got to agree with their subjects.
    Just between you and i, case is important.
    Don't write run-on sentences when they are hard to read.
    Don't use commas, which aren't necessary.
    Try to not ever split infinitives.
    It is important to use your apostrophe's correctly.
    Proofread your writing to see if you any words out.
    Correct speling is essential.
    A preposition is something you never end a sentence up with.
    While a transcendant vocabulary is laudable, one must be eternally careful so that the calculated objective of communication does not become ensconsed in obscurity.
    Eschew obfuscation.

Monday, March 26, 2007

Ubunifu

Ubunifu

Tunahitaji ubunifu wa namna hii Tanzania. Naamini uwezo wa kusimamisha hhutu tudude na twingine twingi twa namna hii tunao. Ingawa tunahitaji kufuata utaratibu halisi wa mipango miji yani. Inaumiza sana na ni upotevu wa fedha kama tudude kama hutu tutakuwa tumejengwa kwenye eneo linalopaswa kupitishwa barabara, au limetengwa kama eneo la michezo au lina kazi nyingine yoyote. Ni ngumu kufanya maamuzi ya kutuondo hutu. Hata dereva wa tingatinga mwenyewe ataona noma kulipitisha hapo! Nadhani hata tinga tinga lenyewe kama lingekuwa na sauti lingegoma kupitia tudude kama hutu! Mh

Hata Marekani za hivi zipo

Unapokuwa Tanzania au nchi yoyote inayoendelea, unaposikia mtu anataja Marekani, picha ya kwanza unayoipata ni ya Majumba makubwa na ya kifahari. Kamwe huwezi kuwaza kuwa kibanda kinachoonekana pichani nacho chaweza kuwa marekani. Hapa ni katika mji wa nashville, mji mkubwa kuliko yote na ambako makao makuu ya Jimbo la Tennessee yapo. Majengo yaliyotelekezwa kama haya yapo mengi tena yapo mjini tu.
Haya mambo hayo

Tuesday, February 20, 2007

Multi culture


Watu wa kila rangi lugha na kabila