Mjasiriamali ni blog yenye nia ya kuelimisha jamii juu ya mbinu mbalimbali za kujikwamua kimaisha. Ni blog yenye habari mchanganyiko zikiwepo za kuelimisha, kupasha taarifa, kuburudisha na kadhalika. Kila mtu mwenye shauku ya kusikia ama kupasha habari basi hapa ni mahali pake
Monday, September 3, 2007
NDIZI
Mdau wangu mmoja amenisihi niweke hii picha kwani kuna vijana wa kibongo waliozaliwa huku ughaibuni, wanakula ndizi kila mara lakini hawajui kinachozaa ndizi hizo. Hii ni migomba inayozaa ndizi aina ya Mshale.
No comments:
Post a Comment