Katika hali ya kutoa burudani na kujitafutia riziki, huyu jamaa ameunda mkokoteni wake ambao unafanana na yale nmatenga ya kubebea kuku kule nyumbani. Anawaendesha watu watatu hadi wanne kwenye mkokoteni huo kwa ujira wa Dola 10. Jamaa huyu anajivunia sana uvumbuzi wake huu na anaamini kuwa ni hatua kubwa sana ameifikia kwenye maisha. Kwake yeye kazi yoyote ni kazi, hachagui.
No comments:
Post a Comment