Saturday, April 28, 2007

RAHA YA KIPINDI CHA KIANGAZI


Kila mtu anaburudika kwa namna yake, wengine ndio hivyo wanafurahia kwa kulala chini, wengine ndio wanatumia kipindi hiki kufunga pingu za maisha na kadhalika. Hali ya hewa ya namna hii inasemekana pia kuwa inaathiri hata soko la bidhaa. Watu wengi hupenda kununua bidhaa kipindi hiki hali inayofanya bei za vitu vingi kupanda kuliko kawaida.

No comments: