Kipindi cha kiangazi kimeanza hapa Marekani, wakazi wake wanatumia muda huu kufanya kila linalowafurahisha. Pichani Jamaa anaonekana akirusha tiara, mchezo ambao kule nyumbani tumezoea mambo haya yanafanywa na watoto. Huku hata watu wazima wanafanya ili mradi tu wanakuwa wametimiza furaha yao.
No comments:
Post a Comment