Monday, March 26, 2007

Ubunifu

Tunahitaji ubunifu wa namna hii Tanzania. Naamini uwezo wa kusimamisha hhutu tudude na twingine twingi twa namna hii tunao. Ingawa tunahitaji kufuata utaratibu halisi wa mipango miji yani. Inaumiza sana na ni upotevu wa fedha kama tudude kama hutu tutakuwa tumejengwa kwenye eneo linalopaswa kupitishwa barabara, au limetengwa kama eneo la michezo au lina kazi nyingine yoyote. Ni ngumu kufanya maamuzi ya kutuondo hutu. Hata dereva wa tingatinga mwenyewe ataona noma kulipitisha hapo! Nadhani hata tinga tinga lenyewe kama lingekuwa na sauti lingegoma kupitia tudude kama hutu! Mh

No comments: