Monday, March 26, 2007

Hata Marekani za hivi zipo

Unapokuwa Tanzania au nchi yoyote inayoendelea, unaposikia mtu anataja Marekani, picha ya kwanza unayoipata ni ya Majumba makubwa na ya kifahari. Kamwe huwezi kuwaza kuwa kibanda kinachoonekana pichani nacho chaweza kuwa marekani. Hapa ni katika mji wa nashville, mji mkubwa kuliko yote na ambako makao makuu ya Jimbo la Tennessee yapo. Majengo yaliyotelekezwa kama haya yapo mengi tena yapo mjini tu.
Haya mambo hayo

No comments: