Wednesday, January 16, 2008

Madhari ya Theluji

Madhari ya kuvutia, kipindi cha baridi ambapo hali ya jotoi huwa chini kiasi cha kufanya maji na vimiminika vingi kuganda. Katika maeneo mengi ya Kaskazini mwa nchi ya Marekani kunakuwa na hali ya namna hii kwa takribani kipindi cha miezi mitano. Ingawa mazingira yanavutia kuona namna hii, hali hii ni hatari sana kwa afya. Mara nyingi watu wanatembea wakiwa wamevalia makoti na makofia makubwa makubwa ili kujikinga na hali hiyo!

No comments: