Tuesday, September 2, 2008

Mchicha

Jamani mchicha ni mtamu usilete matani. Hapa jamaa analima mchicha, wadau nawaachieni wenyewe mniambie kuwa hapa hili shamba lipo wapi mana mimi sitii neno.

1 comment:

Mzee wa Taratibu said...

Wabongo mpaka ulaya mnalima mchicha uzuri wa wabongo hawatupi asili yao ya chakula.