Sunday, January 7, 2007

KARIBUNI

Jamani Karibuni katika kaulimwengu ka blog! Nailete hii kwenu ili tushirikiane kujadili mambo mbalimbali yahusuyo Tanzania yetu ya leo na hata baadaye.

5 comments:

Zablon Mgonja said...

Dah! Kaka haya tumeona

MTANZANIA. said...

hongera mtoto wa Kilimanjaro.
Kaza buti katika hii fani.

Anonymous said...

Asante kaka ila maoni yako humu na michango zaidi ni muhimu

Simon Kitururu said...

karibu Mzee!

Egidio Ndabagoye said...

Karibu sana tena sana