Mjasiriamali ni blog yenye nia ya kuelimisha jamii juu ya mbinu mbalimbali za kujikwamua kimaisha. Ni blog yenye habari mchanganyiko zikiwepo za kuelimisha, kupasha taarifa, kuburudisha na kadhalika. Kila mtu mwenye shauku ya kusikia ama kupasha habari basi hapa ni mahali pake
Huu ni utajiri ambao nchi yetu imejaliwa na mwenyezi Mungu.Tukizitumia vizuri hizi mbuga za wanyama, nchi yetu yaweza ingiza mapato ya uhakika na hatimaye kukuza uchumi.Cha msingi ni kushindana na Kenya wanaowarubuni wageni kwamba mbuga ya Serengeti na Mlima K'njaro vipo nchini mwao. WATANZANIA tuamke.
1 comment:

Post a Comment