Thursday, January 25, 2007

CULTURE SHOCK


Pichani ni Mwalimu Roswita Gowela na mwenyeji wake mara baada ya kuwasili nchini Marekani. Jambo lililomshangaza na kumshtua sana ni pale mwenyeji wake alipomuomba (Mwal. Roswita) apige picha na Mbwa wa huyo mwenyeji wake. Utamaduni wa kufuga mbwa na paka na kuwapa nafasi ya ubinadamu umetawala sana huku Marekani. Wengi wanaoishi na viumbe hawa wanasema eti viumbe hawa wanawapa faraja wanayoikosa toka kwa binadamu wenzao. Hali hii kweli inatisha jamani loh!

1 comment:

Anonymous said...

dada angalia mbwa huyo aanaonekana mmmm