Sunday, January 28, 2007

HISTORIA YA KUSIKITISHA

Dk. Mkoma wa chuo kikuu cha Vanderbilt akichunguza kwa makini mnyororo aliougundua DK Nyanda ( Mwenye fulana ya Bluu) Mambo ya ubaguzi wa rangi bado yanaendelea katika baadhi ya maeneo ya Marekani, kuna baadhi ya nafasi watu hawawezi kuzishika kutokana na rangi yao nyeusi. Yote haya ni matokeo ya historia mbaya ya ubaguzi. Siku chache zilizopita kama juma moja na nusu, wamarekani walikuwa wanamkumbuka mpignia haki Dk. Martin Luther King. Hili ni moja kati ya aliyopiga vita Dk. king

No comments: