Thursday, January 11, 2007


Hapa ni Mbeya kijiji kimoja kinachovutia saaaaaaana kwa ukijani wake, ila kimeathirika saaaaaana na tatizo la mmomonyoko wa udongo. Tatizo hili ni kubwa na ni tishio kwa wakazi waishio karibu na mahandaki yaliyosababishwa na mmomonyoko huo ambao unaendelea. Kinachoniumiza mimi ni kwamba wakazi hao hawajui namna ya kujiepusha na athari zitokanazo na mmomonyoko huo.

No comments: