Thursday, January 11, 2007

Mlima Kilimanjaro, Mlima ambao wakenya wamekuwa wakijifagilia sana kuwa uko kwao. Hivi tufanyeje ili tujivunie hazina yetu hii? Unajua katika dunia yote Mlima Kilimanjaro ndio mlima mrefu kuliko yotekati ya milima iliyosimama peke yake yaani isiyo kwenye safu. Kwa urefu ni mlima wa pili duniani. Hii ni sehemu ndogo tu ya ,aliasili zilizosheheni nchini kwetu.

1 comment:

Anonymous said...

Pamoja na wakenya kuendelea kujitangazia mlima kilimanjaro kama mali yao, bado hawajaonja matunda halisi ya mlima huo zaidi ya watu kufika Kenya na kuoneshwa vitu vingine tofauti na mlima huo. Hata hivo dhambi ya kuumiliki mlima kilimanjaro, ambayo siyo mali yao, ina kikomo chake.waweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa kipindi fulani na kuwadanganya hata watu wote kwa kipindi fulani lakini huweziwadanganya watu wote siku zote.