Thursday, January 11, 2007

Kiswahili

Mwalimu Juma Rioba (Katikati mwenye shati la Kitenge) Akiwa na wanafunzi wake wa Kiswahili katika chuo kikuu cha Bowling Green huko jimbo la OHIO Marekani. Lugha ya Kiswahili inazidi kupanda chati kutokana na kupendwa na wengi duniani. Hii inatia moyo kwani walau utamaduni wa Afrika unazidi kuenea katika nchi za magharibi ambazo mara zote zimekuwa zikidharau bara la Afrika japo utajiri mwingi toka Afrika ndio ulisababisha maendeleo ya wamagharibi hawa.

2 comments:

Anonymous said...

Safi sana mwalimu Juma! Hayo ndio mambo bwana. Hao jamaa nao lazima wajifunze kiswahili si lazima sisi tu ndio tujifunze kingereza chao. BIG UP mkuu

Anonymous said...

Mtu wangu unatisha kwa ku-incorporate language and culure,maana naona umevaa kivazi halisi cha Tanzania, yaani kitenge.

Ni mimi "Mbabe wa Kivita"