Wednesday, January 24, 2007

UZALENDO

Wanafunzi wa Afrika waliohudhuria sherehe za uhuru zilizofanyika hapa Marekani . Hapa wanaonekana wakiwa na Mheshimiwa Andrew Daraja Balozi wa Tanznia nchini Marekani. Hapa walikuwa Fisk University

1 comment:

Anonymous said...

aminia kaka.kesho na kesho kutwa vijana ndio watakuwa mabalozi.na sisi ndio vijana wenyewe. Ni vizuri wakati mwingine kuzoeana na hawa watu katika kukutana namna hiyo.
M/MKUFU