Mjasiriamali ni blog yenye nia ya kuelimisha jamii juu ya mbinu mbalimbali za kujikwamua kimaisha. Ni blog yenye habari mchanganyiko zikiwepo za kuelimisha, kupasha taarifa, kuburudisha na kadhalika. Kila mtu mwenye shauku ya kusikia ama kupasha habari basi hapa ni mahali pake
Wednesday, January 24, 2007
TUVIENZI VYA KWETU HATA KAMA TUPO MBALI
Watanzania waishio Tennessee Marekani walipokuwa wanasherehekea Uhuru wa mnamo Tarehe 9-12-2006
No comments:
Post a Comment