Mjasiriamali ni blog yenye nia ya kuelimisha jamii juu ya mbinu mbalimbali za kujikwamua kimaisha. Ni blog yenye habari mchanganyiko zikiwepo za kuelimisha, kupasha taarifa, kuburudisha na kadhalika. Kila mtu mwenye shauku ya kusikia ama kupasha habari basi hapa ni mahali pake
Thursday, January 25, 2007
UZALENDO
Uongozi wa chuo kikuu cha Fisk walipomuunga mkono mwalimu Zablon Mgonja kusherehekea Uhuru wa Tanzania Tarehe 9, 12, 2006. Wengine ni viongozi wa MTTA chama cha Watanzania waishio jimbo la Tennessee.
2 comments:
Anonymous
said...
Huwa napita hapa kimya kimya kufaidi picha mbalimbali. Mwendo huu huu.
2 comments:
Huwa napita hapa kimya kimya kufaidi picha mbalimbali. Mwendo huu huu.
oils Take a piece of me
Post a Comment