Thursday, January 25, 2007

UZALENDO


Watanzania wa Kesho hawa wakiserebuka kushangilia 45 ya Uhuru wa Taifa lao.

2 comments:

MTANZANIA. said...

Shamukwale nini hiyo?

Anonymous said...

Safi sana watoto wanafurahi ila wazazi wasisahau kuwarithisha utamadinu wao na kufikri wao ni wamarekani kama inavyosemekana.