Hawa ni wana Fulbright FLTA, waliopo Marekani wakifundisha Kiswahili katika vyuo vikuu mbalimbali nchini Marekani. Pichani wanaonekana wakiwa ndani ya eneo la ubalozi wa Marekani nchini Tanzania siku chache kabla ya kuanza safari kuelekea ughaibuni. Mpango huu wa fulbright unawawezesha waalimu wa lugha toka nchi mbalimbali kufundisha lugha zao kwa wamarekani, pia inakuwa nafasi kwao kufundisa/kushiriki tamaduni zao wawapo nchini humo.
Katika mfululizo huu nitawaletea baadhi ya matukio ya muhimu yaliyojiri tangu wataalamu hawa walipoondoka nchini. Maoni na michango mbalimbali ruksa.
1 comment:
Blog owner unaweza ukanipatia majina ya hao walimu wenzako?
Post a Comment