Tuesday, January 16, 2007

WATAALAMU WA LUGHA


Wataalamu wa lugha, toka kushoto ni mwalimu Method Rutechura (Tanzania) Mwalimu Roswitha Gowela (Tanzania) Bi Ndeye Fatou Diop (Senegal) anafundisha KIWOLOF, Mwalimu Abou Salimu (Tanzania) Na mwalimu Michael Wairungu (Kenya) wakihudhuria kongamano la kimataifa la waalimu wa lugha lililofanyika Washington DC marekani. Wote hawa wanafundisha lugha katika vyuo vikuu nchini Marekani chini ya mpango shindanizi wa Fulbrait. Hapa wapo nje ya IKULU YA MAREKANI maarufu kama JUMBA JEUPE (white house)

1 comment:

Anonymous said...

Hivi mlienda kutafuta green pastures au mnajitolea? Jamani mkumbuke kurudi katika nchi zenu kwani zinawahitaji wataalamu kama nyinyi.